Kanuni kwa Maendeleo ya Kidijiti


Andaa pamoja na mtumiaji

  • - Jumuisha watumiaji na wadau wengi wa aina mbalimbali katika kila awamu ya hatua zote za mradi.
  • - Buni kitu ambacho kinaboresha michakato ya sasa ya watumiaji, kinaokoa muda, kinatumia rasilimali chache na kinaongeza ubora.
  • - Fanya ufumbuzi unaoendana na muktadha ambao unatokana na vipaumbele na mahitaji ya mtumiaji.
  • -Endeleza ufumbuzi kwa namna ya kuongeza kilichopo na ya kurudiarudia, ukiwa na malengo yaliyo wazi na unazingatia hali halisi.
  • - Hakikisha mtindo ni nyeti na unazingatia mahitaji ya wanaoishi katika mazingira magumu Fuata mchakato wa kurudiarudia unaoruhusu kujumuisha mwitiko na kutumia ufumbuzi wako.
  • - Uwe wazi kuhusu kuweka matarajio na waache watu wachague kushiriki katika mchakato wa kuandaa.