Kanuni kwa Maendeleo ya Kidijiti


Elewa Mfumo wa Ekolojia Uliopo

  • - Washirikishe watumiaji uliowalenga na kupitia utafiti uliopo ili kujenga uelewa.
  • - Ratibu pamoja na asasi nyingine za utekelezaji, asasi za kiraia na serikali mapema iwezekanavyo
  • - Hakikisha jitihada zako zinaendana na teknolojia iliyopo, sheria na sera za kimamlaka.
  • - Washirikishe wanajamii, serikali ya mtaa na serikali kuu, wafadhili na asasi nyingine za utekelezaji.
  • - Fuatilia mfumo wa ekolojia kwa ajili ya mabadiliko.