Kanuni kwa Maendeleo ya Kidijiti


Ubunifu Ulenge Ukuaji

  • - Fuatilia mfumo wa ekolojia kwa ajili ya mabadiliko.
  • - Andaa ufafanuzi wa ukuaji kwa ajili ya jitihada zako.
  • - Hakikisha ubunifu wako ni rahisi, unakubali mabadiliko na unaweza kupimika ili kurahisisha ubadilishaji wa maudhui na kutumika katika mazingira mengine.
  • - Kwa kadiri unavyofanya uchaguzi wa teknolojia, fikiria kama vitarahisisha au kufanya ugumu katika ukuaji.
  • - Wabainishe wabia mapema ambao watasaidia kupima ufumbuzi wako.
  • - Zingatia namna ya ugharimiaji wako.
  • - Kusanya ushahidi na onyesha matokeo kabla ya kupima.
  • - Usijaribu kutafiti bila kuwa na uthibitisho kamili kwamba ufumbuzi wako ni sahihi.