Kanuni kwa Maendeleo ya Kidijiti


Jenga Mradi Endelevu

  • - Panga uendelevu kuanzia mwanzo.
  • - Andaa ufafanuzi wa uendelevu kwa ajili ya jitihada zako.
  • - Bainisha na tekeleza kifani cha uendelevu wa shughuli.
  • - Tumia na wekeza kwa watoa huduma wa ndani wa taarifa za teknolojia.
  • - Shirikisha serikali za mitaa na husisha mikakati ya taifa katika uandaaji wa programu.
  • - Shirikiana badala ya kushindana na wabia ili kubainisha ufumbuzi mzuri zaidi wenye matokeo mazuri.
  • - Andaa programu ambayo inaweza kutumika kama mahitaji ya watumiaji na mabadiliko ya mfumo wa ekolojia.