Kanuni kwa Maendeleo ya Kidijiti


Tumia na Boresha Ubunifu na Suluhu Zilizopo

  • - Bainisha ufumbuzi uliopo wa kiteknolojia (nchini na ulimwenguni), data na mifumo ambayo imekuwa ikitumiwa na watu uliowakusudia, katika eneo na sekta yako.
  • - Andaa mbinu zinazopimika, shirikishi badala ya zile zinazotumika zikiwa peke yake.
  • - Shirikiana na wataalamu wengine wa maendeleo ya kidijiti ili kuwa na uelewa wa zana zilizopo na kujenga uhusiano ambao utaongoza katika matumizi na maboresho ya zana zako kwa siku zijazo.